NRA yasema itashiriki uchaguzi Zanzibar

Chama cha NRA kimesema kitashiriki uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar na kukanusha taarifa zilizotolewa awali na aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho kuwa chama hicho hakitashiriki uchaguzi huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS