Shilole ala za uso, atakiwa kuacha 'kubemenda' Msanii wa bongo fleva asiyeisha vituko Shilole au Shishi Baby, ameijiwa juu na mashabiki wake na kumtaka kuacha tabia ya kupenda wavulana wadogo, huku wakimtuhumu kuwabemenda na kujidhalilisha. Read more about Shilole ala za uso, atakiwa kuacha 'kubemenda'