Vita ya watani wa Jadi kesho uwanja wa Taifa Vigogo wa soka nchini Tanzania Simba na Yanga kesho wataminyana katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara utakaopigwa katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam. Read more about Vita ya watani wa Jadi kesho uwanja wa Taifa