Waziri Mkuu, Kssim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Bandari ya Tanga , Henry Arika (kulia kwake) kukagua bandari hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua bandari ya Tanga na kumtaka Mkuu wa Bandari hiyo (Port Master), Bw. Henry Arika amletee maelezo juu ya ukiukwaji wa manunuzi ya tishari.