ZEC yasema hakuna mgombea aliyejitoa uchaguzi Zbar
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza kutotambua chama chochote kujitoa katika uchaguzi mkuu wa marudio utakaofanyika Machi 20 mwaka huu, kwa madai kuwa hakuna chama kilichofuata kanuni katika kujitoa.

