Ukatili wa watoto kuongezeka nchini Tanzania

Shirika linalopambana na ukatili dhidi ya watoto (SISEMA) limesema kuwa tatizo la ukatili kwa watoto bado ni kubwa nchini Tanzania licha ya kuwepo kwa jitihada mbalimbali zinazofanywa kukabiliana na tatizo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS