Kutana na waswazi wakielezea umuhimu wa biashara ndogondogo uswahilini. Pia kutana na mama muuza genge anayemiliki kiwanja kigamboni, Uswazi vipaji kibaoo, cheki waigizaji wa kiswazi wakifanya yao... usikose ni Jumapili hii saa 12:30 jioni
Submitted by richard on Jumatano , 24th Feb , 2016