Hatufanyi kazi kwa kufuata mkumbo - Makomando Wasanii wa muziki wa bongo fleva Makomando, amabo wana sifa kubwa ya kuanzisha style mbali mbali za kucheza na kuzipa umaarufu hapa bongo, wamefunguka kuhusu kukaa kwao kimya kwenye game. Read more about Hatufanyi kazi kwa kufuata mkumbo - Makomando