Balozi ataka Stars ianze na Kenya imalize na Misri
Wachezaji wa kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wamepewa ubani na balozi wa Tanzania nchini Kenya akiwatka waanze na ushindi kesho dhidi ya Kenya na kwenda kumalizia kwa ushindi dhidi ya Misri wiki ijayo watakapokuna Juni 4.