Raia wa Uingereza ataka kumpiga risasi Trump

Raia wa Uingereza Michael Steven Sandford akiwa amedhibitiwa na polisi wa Marekani

Raia wa Uingereza ambaye alijaribu kumpokonya silaha polisi katika mkutano wa Donald Trump Jijini Las Vegas nchini Marekani amesema alikuwa anataka kumpiga risasi muwania urais huyo wa Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS