Wajue Wakurugenzi wa Apple Inc Tangu 1977 - 2026
Kila himaya ina mwanzo wake, na kwa Apple, mwanzo huo haukuwa rahisi. Ingawa wengi tunamjua Steve Jobs kama uso wa kampuni, safari ya uongozi rasmi imepita kwenye mikono ya watu nane muhimu waliojenga historia hii.

