VICOBA watakiwa kuchangamkia mikopo
Vikundi vinavyounda Mtandao wa Benki za Maendeleo vijini maarufu kama VICOBA, vimetakiwa kuchangamkia fursa za mikopo ya riba na masharti nafuu inayotolewa na serikali, yenye lengo la kuinua hali ya kiuchumi kwa wananchi na wajasiriamali wadogo.