Nuh Mziwanda atoa siri ya 'Jike Shupa'. Nuh Mziwanda amefunguka kile kilichojificha kwenye wimbo wake wa 'Jike shupa' ambao kwa sasa unafanya poa, aliomshirikisha Alikiba, na jinsi alivyoupokea kwa mara ya kwanza. Read more about Nuh Mziwanda atoa siri ya 'Jike Shupa'.