Wanawake watakiwa kujitokeza kozi za TTTA Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kozi ya ukocha wa mpira wa Meza wakiwa darasani. Wanawake wametakiwa kujitokeza kwa wingi zaidi kwa ajili ya kusomea kozi ya mchezo wa mpira wa meza kwa ajili kukuza mchezo huo kwa watoto wa kike mashuleni. Read more about Wanawake watakiwa kujitokeza kozi za TTTA