Wagonjwa wa Sumu kuvu wafikia 54, vifo 14 Dodoma
Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema Takwimu zinaonyesha hadi kufikia 31 Julai kulikua na jumla ya wagonjwa 54 na watu 14 walipoteza maisha kutokana na ugonjwa unaosababishwa na sumu kuvu.

