Nyumba 644 kujengwa Magomeni Kota,DSM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesema kuwa Rais Magufuli ameamua kuwa waliokuwa wapangaji katika nyumba za serikali za 'Magomeni Kota' Dar es Salaam, wauziwe nyumba 644 zitakazojengwa na serikali.

