Marekani yaipa TZ Dola milioni 407 kujiendeleza

Serikali ya Marekani, kupitia shirika lake la Misaada ya Maendeleo USAID, imeipatia Tanzania msaada wa dola Milioni 407 sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 895 zitakazotumika kwaajili ya kuendeleza sekta za Kilimo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS