NEC kuboresha daftari mara mbili kabla ya 2020
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kalima Ramadhani amesema Tume ya Uchaguzi nchini itafanya zoezi la kufanya marekebisho ya daftari la wapigakura kwa awamu mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.