Lissu ashinda pingamizi jingine dhidi ya Jamhuri

Lissu ameieleza Mahakama kuwa shahidi huyo ana uwezo wa kutoa 'certificate' na sio 'report', na kwamba shahidi alipaswa kuandaa picha mnato (still picture) alizopelekewa kufanyiwa uchunguzi na kuzikuza, baada ya kuteuliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS