Tizeba awashukia wadau wa uvuvi Mwanza

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba.

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba, amelitaka Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kuongeza juhudi za mapambano kwa wavuvi haramu wanaotumia zana zilizopigwa marufuku na serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS