Polisi yapata mil 878 kutoka barabarani kwa siku 4
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi Millioni 878.67 kupitia tozo za makosa ya usalama barabarani kwa kipindi cha siku nne, ambapo idadi ya magari yaliyotozwa tozo hizo ni 9,817.

