Situmii dawa za kutunisha misuli - Young Dee Young Dee Msanii wa hip hop nchini Paka Rapa (Young Dee) amesema hatumii dawa zozote za kukuza misuli yake na mwili wake bali anafanya mazoezi kila siku na bado hajafikia katika kiwango ambacho anataka kufikia. Read more about Situmii dawa za kutunisha misuli - Young Dee