Lulu, Kadinda, Michuzi watwaa tuzo Swahili fashion
Kilele cha maonyesho ya mitindo ya mavazi 'Swahili Fashion Week' chafanyika jijini Dar es salaam, ambapo wanamitindo kutoka sehemu mbali mbali barani Afrika walipata fursa ya kuonyesha ubunifu wao, pamoja na kutolewa tuzo kwa baadhi ya washiriki.

