Majaliwa amaliza mgogoro sugu wa ardhi, Monduli

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Mto wa Mbu wilayani Monduli akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ardhi  uliodumu kwa miaka 17 kati ya vijiji viwili vya Ortukai na Esilalei na Taasisi ya Tanzania Land Conservation Trust (TLCT) wilayani Monduli, mkoani Arusha

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS