Twiga Stars yajipanga kulipiza kisasi kwa Cameroon

Twiga Stars

Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Wanawake ‘Twiga Stars’ jana Novemba 10, 2016 ilipoteza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Cameroon kwa kupigwa mabao 2-0 na sasa inajipanga kulipiza kisasi katika mchezo wao wa pili, Nov 13

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS