Wamarekani kufanya maamuzi magumu hii leo
Wamarekani leo wanapiga kura kumchagua atakayerithi kiti cha Rais Barack Obama huku kukiwa na ushindani mkali kati ya wagombea wawili, Hillary Clinton wa chama cha Democratic na Donald Trump wa chama cha Republican.