Wachimbaji wadogo walia na mikataba ya wawekezaji

Wachimbaji wadogo wa madini katika kata ya Matundasi wilayani Chunya wakiendelea na utafutaji wa madini aina ya dhahabu.

Baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini wilayani Chunya mkoani Mbeya wameiomba serikali kupitia upya mikataba ya madini inayotolewa kwa kampuni za uchimbaji na kutoa kipaumbele kwa wakazi waliopo katika maeneo yenye madini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS