Nagu ataka utafiti ufanyike kudhibiti uvuvi haramu

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji, Mifugo na Uvuvi Dkt. Marry Nagu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji. Mifugo na Uvuvi Dkt. Marry Nagu ametoa wito kwa mashirika yanayojihususha na utoaji elimu ya utunzaji mazingira kufanya utafiti kwani baadhi ya wavuvi wanang'ang'ania kufanya uvuvi haramu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS