Ijumaa , 9th Dec , 2016

Picha ya muonekano wa tuzo katika Tuzo za EATV imeatolewa usiku wa kuamkia leo ambayo ndiyo atakabidhiwa msanii atakayeibuka mshindi katika kipengele husika.

Picha ya Tuzo ya EATV

 

Tuzo hiyo yenye muonekano wa kiganja chenye vidole vitano na rangi ya dhahabu, imepokelewa kwa shangwe na wasanii pamoja na mashabiki wao, huku wengi wakisubiri kwa hamu kujua nani tafanikiwa kuichukua kwa mara ya kwanza kwenye historia ya tuzo hizo Afrika Mashariki.

Soma maoni yao hapa chini:-

 

Wasanii watakaofanikiwa kuibeba tuzo hiyo siku ya tar 10 Dec, watakuwa wasani wa kwanza kuibeba tuzo hiyo kwenye historia ya muziki na filamu Afrika Mashariki

Tags: