Dj Bonny Love apewa tuzo maalum ya heshima Dj maarufu wa nchini Tanzania, Boniventure Kilosa au Dj Bonny Love, ametunukiwa tuzo ya heshima kwenye #EATVAwards , kama mtu mwenye mchango mkubwa kwenye tasnia ya muziki nchini. Read more about Dj Bonny Love apewa tuzo maalum ya heshima