Filamu bora ya mwaka. Filamu zilizochaguliwa kuwania kipengele cha Filamu bora ya mwaka katika tuzo za #EATVAwards ni Facebook Profile, Nimekosea Wapi, Hii ni Laana, Mfadhili Wangu na Safari ya Gwalu. Read more about Filamu bora ya mwaka.