Nilifanya collabo na Kiba nipate ugali-Ommy Dimpoz Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa amerudi kwenye game na kolabo ya wimbo wa 'Kajiandae' aliyofanya na Alikiba tena, ametoa sababu ya kuamua kufanya tena kollabo na msanii huyo. Read more about Nilifanya collabo na Kiba nipate ugali-Ommy Dimpoz