Tafuteni njia mbadala kukomesha ukatili: RC Njombe
Mahakama na polisi nchini zimetakiwa kutafuta njia mbadala ya kukomesha vitendo vya ubakaji na ulawiti kwa kuwashughulikia watuhumiwa, kwakuwa vimedaiwa kuchangia kasi ya ongezeko la maambukizi ya VVU.