Trump hataki 'blaa blaa' Marekani

Donald Trum akila kiapo

Hatimaye Donald Trump kutoka chama cha Republican ameapishwa kuwa Rais wa 45 wa Taifa la Marekani akimrithi Barack Obama kutoka chama cha Democratic ambaye muhula wake umemalizika rasmi leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS