Yanga yaacha saba safari ya Majimaji
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga SC wanaondoka leo kwenda Songea tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu siku ya Jumanne katika dimba la Majimaji Songea huku ikiacha wachezaji 7 kwa sababu tofauti.