UTABIRI: Vita, ukame, wizi kutikisa mwaka 2017
Miongoni mwa mambo yatakayotikisa dunia mwaka huu wa 2017 ni pamoja na vita moja kubwa sana, ukame, njaa, maisha magumu yatakayoambatana na mlalamiko zaidi, vifo vingi vya watu maarufu, vifo vingi vya watoto, kupatwa kwa mwezi, na jua n.k.