Najutia kuwa Video Queen - Lulu Diva
Video Queen Lulu Diva ambaye sasa ameanza kufanya muziki wa bongo fleva amefunguka na kusema anajutia maamuzi yake kuingia kwenye tasnia, kama video queen katika video mbalimbali za wasanii na kusema kazi hiyo imekuwa haiheshimiki.