Yanga kumkosa Dante dhidi ya Mwadui FC

Dante

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara leo wanashuka dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kupambana na Mwadui FC ya Shinyanga huku wakimkosa beki wake Andrew Vincent 'Dante'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS