Serengeti Boys yaelekea bungeni

Serengeti Boys

Timu ya Taifa ya vijana Serengeti Boys imeondoka hii leo kuelekea Bungeni Mjini Dodoma kufuatia mualiko kwa ajili ya kupewa pongezi za kufanikiwa kufuzu kushiriki katika Fainali za Mataifa ya Afrika AFCON kwa vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS