Nahodha Philipp Lahm atangaza kustaafu Philipp Lahm Nahodha wa Bayern Munich Philipp Lahm ambaye pia ndiye aliyekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani walipotwaa Kombe la Dunia mwaka 2014, ametangaza kwamba atastaafu soka mwishoni mwa msimu huu Read more about Nahodha Philipp Lahm atangaza kustaafu