Mbowe ajibu tuhuma za dawa za kulevya

Mkutano wa Freeman Mbowe na wanahabari

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekanusha tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya ikiwa ni siku chache baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika orodha ya watu 65 wanadaiwa kuhusika na dawa za kulevya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS