Mkubwa Fella 'agomea' kifo cha Yamoto Band
Bosi wa kundi la muziki la Mkubwa na Wanawe kutoka TMK Dar es Salaam, Said Fella amesema Yamoto Band haijafa kama watu wanavyodhania bali walikuwa wanafanya tathmini katika kazi zao walizokuwa wamezifanya tangu walivyoanza muziki.

