Mwambusi: Yanga ilivyojipanga kushinda mechi 6 VPL
Kocha msaidizi wa Yanga SC, Juma Mwambusi amefunguka kuwa timu yake imebakiza mechi sita ngumu ili kutetea ubingwa hivyo anawaanda vijana wake waanze kwa kushinda mchezo wao na Azam FC utakaofanyika kesho katika dimba la Taifa.

