Watu 7 wakamatwa na dawa za kulevya
Watu saba (07) wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kupatikana wakiwa na dawa za kulevya zinazodhaniwa kuwa ya heroine kiasi cha kete 32, bhangi kilo mbili na nusu na misokoto 75 ya bangi, wilayani Nyamagana, Mkoani Mwanza.