Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi TTCL Omary Nundu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Bw. Omary Rashid Nundu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Read more about Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi TTCL