VIDEO: Dayna atetea picha zake za utata mitandaoni

Dayna Nyange

Msanii wa bongo fleva Dayna Nyange amesema hawezi kuishi maisha ya kumfurahisha kila binadamu bali anaishi kama vile jinsi anavyoona inafaa kwa upande wake ndiyo maana haoni kama kuna tatizo la yeye kuwa na picha za utata katika mitandao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS