Mesen Selekta afunguka bifu lake na Man Fongo Msanii ambaye pia ni producer wa Defatality Mesen Selecta pamoja na msanii wa kisingeli ambaye pia ndiye Msanii Bora Chipukizi katika Tuzo za EATV, man Fongo, inasemekana kuwa wawili hawa wana bifu. Read more about Mesen Selekta afunguka bifu lake na Man Fongo