Magufuli amtumbua Katibu Mkuu wa Wizara

Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge) Bw. Uledi Abbas Mussa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS