Sijashindwa kumlea mwanangu - Kajala

Muigizaji wa Filamu Tanzania Kajala Masanja amewafungukia wanaomsema kwamba ameshindwa kumlea binti yake ' Paula'  na kusema anatamani awaoneshe watu hao malezi anayompatia binti yake huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS