Yanga yaanga mashindano ya klabu bingwa Afrika. Leo Klabu ya Yanga wazee wa kimataifa wametolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kutoka sare ya bila kufungana na klabu ya Zanaco FC ya nchini Zambia. Read more about Yanga yaanga mashindano ya klabu bingwa Afrika.